makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,453
- 108,534
Huyu jamaa aligonga nyimbo kibao matata..2007 - Lucky Dube, mwanamuziki alifariki
Mpendwa obe baadae unipigie nyimbo yake ya "REMEMBER ME"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na hapo ndio mwisho kwa Leo
Ujumbe: maka kumi kazana umpate BH
By husobe
[emoji257] [emoji255] [emoji259] [emoji253] [emoji257] [emoji253]Husnaaaa[emoji7] [emoji7] [emoji7]
Kivp chief!?Mbona mm ananifitini
Tublesiwe sote mpendwa..Bless u
Anajua sanaKivp chief!?
Mbona mikono juu mwendo wa mateka mpendwa wangu![emoji134] [emoji134] [emoji134]
Chief tunakuona[emoji257] [emoji255] [emoji259] [emoji253] [emoji257] [emoji253]
[emoji8] [emoji8] [emoji8]
Vaa miwani chiefChief tunakuona
Ntafanyaje sasa mm nyuki wa mashineniVaa miwani chief
Macho yameona, fanya moyo kama haujaona vile..Ntafanyaje sasa mm nyuki wa mashineni
Sitaki ata kuona kwa njia yoyote ileeMacho yameona, fanya moyo kama haujaona vile..
Ni kweliAlirudia kazi les wanyika..
Team popoNdio.. tusikeshe vipi!?[emoji23]
Baba mchungaji nakuonaaaNawe pia mpendwa!
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Wacha wee...
...pe shumabhoti Abel na marembeKupekupe bibamba!!
Basi mambo waa uchukue nafasi ya werason ya kuwa baba mchungajiNdio.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahaa... Duh! Kumbe uke wenza unakupa pumu.. pole wee
Na kibaya zaid blessed hope mwenyewe biblia ipo kwenye moyo, kamwagiwa damu ya yesu halogeki haingiliki, vidawa vyako vya ng'ende huko vinadunda tu shabash[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na unalo hilo, mie na blessedhope ni washikaji zaid.. so ukewenza mpaka ubaki viskeleton..[emoji23] [emoji23]
[emoji57] [emoji57] [emoji57]Bi tukinao![emoji23] [emoji23] [emoji23]