Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nikisa kizuri
-----------------
Mke alimkasirikia mama mkwe wake
~~~~~~~~~~~~~~
Mke alisimama kwenye meza ya chakula akamuacha mama mkwe wake mzee kwenye meza
Mume nayeye alisimama kwa mshangao ili ajue sababu ya kwanini mke wake amiondoka kwenye meza ya chakula!!!!

Mume anauliza : kwanini umeondoka kwenye meza ya chakula??
Jee kuna kitu hakikukufurahisha ?
alijibu mke: ndio mimi nahisi kuwa mikono ya mama yako michafu jambo hilo limenitibua nafsi yangu na kupoteza hamu ya kula!!!!!

Mume: jee hiyo ndio sababu iliyokuondoa kwenye meza ya chakula isiwe tabu niambie nisaidie tufanyeje habibty utakachosema nitatekeleza.
Mke: tumtengee sehemu ale peke yake ... Kwa sababu kuanzia leo mimi sipo tayari kula sehemu moja na mama yako kabisaa.
Mume: hapana hapana usiseme hivo habibty kuanzia leo atakuwa nasehemu yake maalum peke yake nakuahidi habibty wangu.
Lakini inaonyesha hata kuwepo hapa mama yangu inakudhofisha au sio habibty?
au tatizo nikuwa mikono yake inanuka tu kuwepo kwenye nyumba sitatizo?
MKE: Kiukweli hasaa mme wangu kuwepo humu kwenye nyumba yetu mama yako ananinyima raha hasa!!!
MUME: lakini kama unavojua mama yangu nimkubwa kiumri na hana wakumtegemea zaidi yangu sasa nini rai yako?
MKE: ufumbuzi upo nikumpeleka kwenye nyumba za wazee watamshughulikia huko na ikiwa hukufanya hivi basi nitaondoka mimi na ujue sitorudia tena kwako.
MUME: vizuri mke wangu kipenzi wala usijali kitu muhimu nifuraha yako tu nitampeleka mama yangu kwenye nyumba za wazee... Kila ulichonambia na fikra zako mzuri habibty wangu.
Alifurahishwa mke na maneno ya mume wake na mume alimuonyesha tabasamu mke wake...
Kumbe mume alishapigiwa simu kutoka kwa mkwe wake hapo hapo alimuuliza mke wake..
Ivi mke wangu unadhani nikwanini baba yako amenipigia simu na amenitaka wote humu ndani kesho tuende kwake?
MKE: ndio kwasababu nilimwambia akupigie!!!!
MUME: kwa sababu gani habibty?
MKE: kesho tukienda utajua nisamehe asaivi hoi nataka kulala!!!!
MUME: bila samahani habibty lala usingizi wenye afya...
Mume anatoka kwenye chumba chao anaenda kwenye chumba cha mama yake mzee..
Mama anamuuliza mwanae : ewe mwanangu jee mke wako mgonjwa mpaka ikawa hakuweza kula chakula ameondoka kwenye meza ya chakula?
MTOTO: HAA NDIO MAMA NIMGONJWA.
MAMA: mbona umemuacha mkeo umekuja kwangu nenda haraka ukamletee dokta ...au ukamnunulie dawa.. Sio vizuri mwanangu mke wako kulala na njaaa nahuku nimgonjwa...
MTOTO: hapana ewe mama yangu sio taabani sanaa.. atapumzika kiasi nakisha atakula usikhofu.
MAMA: ikiwa nihivo basi umenituliza ... Allah akuhifadhini enyi watoto wangu
MTOTO: amiin amiin mama kesho nitakupeleka sehemu kila kitu kitabadilika
MAMA : wapi ewe roho yangu mwanangu
MTOTO: kesho utajua wapi tunakwenda .. Lakini nnachokuomba usibishie au kunizuia kile ntakachokifanya .
MAMA : naapa hakika unanipa wasi wasi ewe mwanangu lakini sitokutenda nguvu mpaka utakaponifahamisha zaidi kwasababu nafahamu kua wewe nimtu wa hekima.

Kesho yake saa nne asubuhi .. Mume mke na mama wa mume wanaenda kwa wazazi wa mke ilikopigwa simu kua waende.
Ktk wito huu mume anamchukua mama yake baada yakuwa mke alikata katakata lakini mume alimjibu mke wake usiwe na wasiwasi habibty tuende naye kwenu kisha tukitoka hapo kwa wazazi wako tutampeleka kule tulikokubaliana jana usiku (kwenye nyumba za wazee) mke aliafiki na wakaenda...
Walifika nyumbani kwao mke walipokelewa vizuri..
Wakawa wanaongea baina yao.
Iliadhiniwa adhana ya sala ya adhuhuri ...wakasali ...kwa pamoja..
Nakwenye kusubiri chakula mpaka kimalize kutayarishwa ....
Baba wa mke anaongea na mkwe wake chemba . mkwe wangu kiuhakika nipo na jambo muhimu sana na ndio maana nikakupigia simu uje.
Basi acha nikueleza tu kama unavojua kuwa nipo na mtoto mmoja tu ambaye ndiye huyo mke wako yeye ndio mtu wetu wa karibu kwenye nyoyo zetu siwezi kumkatalia lolote analolitaka kiudhati nikuwa amanipigia simu akiwa katika hali ya kutokufurahishwa na sababu kuna kitu hakimpi raha nacho ni kuwepo mama yako kwenu na kwa jambo hili nihaki yake aishi bila mama yako!!!!
Na mimi nimekubaliana naye anayoyataka hivo basi nilazima kufanya lolote ulitatue jambo hili kwa haraka laa ikiwa hukufanya hivo binti yangu hatorudi kwako na haya nimaneno yangu ya mwisho!!!!!
MUME: kumbe simu zote nikwa jambo hili tu wanamuongelea mama yangu ok vizuri baba mkwe mbona tumeshakubaliana na mke wangu kuwa tumpeleke kwenye nyumba za wazee baada yamwaliko wako huu uliotualika...
BABA MKWE: Vizuri ikiwa mmeshakubaliana tunataraji tatizo limeshapatiwa ufumbuzi alhamdu lillah
MUME: hakika naam...
chakula kinaletwa mezani na wakaja wanafamilia wote isipokuwa mama wa mume tu ...
Mke anamnong'oneza mume wake sikioni mama yako atakula kule usiwe na wasi wasi juu yake habiby...
MUME; wewe ndiye uliyesema mama yangu ale kule
MKE : ndio nimesa mimi ale kule mama yako
Mume anaiyangalia familia ya mke wake wakiwa kwenye meza ya chakula kabla ya kuanza kula..
Mume alisema kwa hakika mimi siwezi kula pamoja na nyinyi jee mnajua sababu!! Kwa sababu mikono yenu michafu kama ilivokuwa nyoyo zenu chafu ..
Wote walishtushwa na maneno hayo baba mkwe akasema : ndio unaongea nini sasa?????
MUME... anamuangalia mke wake nahuku anamwambia kwanini moyo wako unaungua kama volcano inayotaka kuripuka kwa sababu yakukwambia maneno haya!!!!
Vile vile moyo wangu jana uliponiambia kuwa mikono ya mama yangu inanuka.... anamuangalia mama yake...
Mme niita ili nipate ufumbuzi kwa mama yangu eti nimfukuze wala hamjali lolote eti kwa sababu binti yetu ameamua hivo.
Mnaonaje ikafika siku na wewe ukawa mkubwa na akakosa raha nawewe na akakufukuza utaonaje hisia zako nasikitika juu yenu familia mbaya kabisa.

Anamwita mama yake anatoka mama yake mzee kiumri maskini akiwa hajui lolote linaloendelea anaondoka na mama yake namachozi yakimtoka huku akibusu mikono na kichwa cha mama yake na anainama kwenye miguu ya mama yake.
Akasimama huku ameishikilia mikono ya mama yake huku akisema... Haya tuende ewe mama yangu
anauliza mama wapi? Mtoto anajibu peponi
Nibebe mama yangu unipeleke peponi kwa radhi zako anamkumbatia mama yake nahuku wanatoka anawageukia familia ya mke wake...
Na akawaambia .. Mimi nipo na pepo yangu na nyinyi bakieni na dunia yenu ( binti yenu)
Ntaisoma usiku shem
 
Mungu atusaidie wanawake tuwapende wazaa chema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom