Makapuku Forum

Ewaa... Vitu vyatu hivi..

Loketo Mosiko kitoko nangai.
 
Halaf binamu hiyo nyimbo ya fally eloko oyo mama yangu anaipenda mama mchuchu [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji255] [emoji255] [emoji254] [emoji254] [emoji259] [emoji257] [emoji257]
Basi kwa heshima na taadhima naomba hii iwe special kwake.. mwambie makaveli anampenda kichiz[emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
Nangoyo...

Ananikosha sana mzee wa bakadja. Ana kitu kinaitwa orijinal, hatar hicho shunie.
Original cha zamani maka mambo hayo eloko oyo acha buana mambo ya kuzungusha bunooo kama we tena bunoo gumu upambane na hali yako tu shem wangu nisamehe tu jaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…