Makapuku Forum

Asanteeee binamu yangu [emoji122] [emoji122] mambo ya bunooooooo mambo ya eloko oyo acha nimchezee baba d nitarudi
 
Halaf binamu hiyo nyimbo ya fally eloko oyo mama yangu anaipenda mama mchuchu [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji255] [emoji255] [emoji254] [emoji254] [emoji259] [emoji257] [emoji257]
 
Muziki wa Mhisani

Nimerejea tena na nimekuja kwa sababu moja kubwa, udhamini umefikia kiwango cha uhisani, yaani makaveli10 kadhamini magazeti na muziki. Hii ni level nyingine yaani katoka kuwa pedeshee hadi Bill Gates.

Na wimbo aliouhisani ni Mockingbird, wimbo mzuri kabisa kusikiza na kama unapenda mashairi yaliyopangika bila zile fakafaka za vijana nyie basi huu ndo utaupenda. Ukizitaka zile sikiza The Storm

 
[emoji23] [emoji23] kutoka pedeshee mpaka .....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…