Makapuku Forum

Kwani hamkumwambia mjomba aje na kuku wa kienyeji? Anko aliniambia na sasa mimi nimempata mmoja yeye kawapata wawili mmoja wako mwingine hajaamua ampeleke kwa teller au tolu
Kama kawapata wawili wote wa kwangu haendi kokote si kwa teller wala kwa mdogo wa mama ashura hivi binamu anko wako kweli alikwambia habari za kuku
 
Mimi napenda sana na ninakufurahia maana hakuna mwingine anayependwa na anko wangu kushinda wewe. Anko wangu kama kocha Julio Alberto Perreira Kihwelo, yeye atazunguuka weeeeee ila mwisho wa siku Simba ndo timu yake. Nje anaendaga kusambaza ufundi
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…