Makapuku Forum

1404 - Uchaguzi wa Papa Innocent VII

Alichaguliwa kuwa Papa kwa ushindi timilifu, yaani kura zote zilimuangukia yeye lakini kama ilivyokuwa kwa watangulizi wake na tabia za kuchuma kupitia madaraka alimuweka ndugu yake kuwa kamanda wa jeshi la papa. Kifo chake kilikuwa na utata na kanisa huwa linawapinga wote wanaosema kifo chake hakikuwa 'a natural death' na sio faulo

 

I love you too
 
1946 - Graca Machel, mke wa Samora Machel halafu wa Nelson Mandela alizaliwa


...utasema nini kwa mwanamama mrembo huyu ambaye yupo kwenye 'panel' ya wat 10n wenye ushawishi africa wanaopigania usawa na maendeleo endelevu barani kwetu. Na uhue nini? Ndo mwanamama wa kwanza kuwa 'first lady' katika nchi mbili tofauti, Mocambique na Afrika Kusini

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…