makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,862
- 104,035
Sina roho hyo chief..Roho mbaya tu yako
Sina roho hyo chief..Roho mbaya tu yako
Mme mwee??Mme mwee![]()
![]()
za jioni
VizuriiSina roho hyo chief..
Aisee duhMme mwee??
Imeenda vyema kabisa, vip pande hizoNa wewe pia mkuu.
Siku imeendaje
Mkuu nambie nielewe make nimemuita tumosa shem wetu kwa kuwa sis baby wako ?Aisee duh
Mkuu nambie nielewe make nimemuita tumosa shem wetu kwa kuwa sis baby wako ?

Imeenda salama saliminiImeenda vyema kabisa, vip pande hizo
Yeremia 17:9**Yeremia 17:9*
*Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua?*
*10 Mimi, Bwana, nauchunguza moyo, navijaribu viuno, hata kumpa kila mtu kiasi cha njia zake, kiasi cha matunda ya matendo yake.*
KAZI YA MUNGU NI KUCHUNGUZA MIOYO YETU...HAKIKISHA MUDA WOTE MOYO WAKO UNAKUWA SAFI MTU WA MUNGU.
*_M B A R I K I W E WOTE_*
Baraka ziwe juu yetu sote..*Yeremia 17:9*
*Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua?*
*10 Mimi, Bwana, nauchunguza moyo, navijaribu viuno, hata kumpa kila mtu kiasi cha njia zake, kiasi cha matunda ya matendo yake.*
KAZI YA MUNGU NI KUCHUNGUZA MIOYO YETU...HAKIKISHA MUDA WOTE MOYO WAKO UNAKUWA SAFI MTU WA MUNGU.
*_M B A R I K I W E WOTE_*
Natest mitambo
Amen mama mchungaji Ubarikiwe sana*Yeremia 17:9*
*Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua?*
*10 Mimi, Bwana, nauchunguza moyo, navijaribu viuno, hata kumpa kila mtu kiasi cha njia zake, kiasi cha matunda ya matendo yake.*
KAZI YA MUNGU NI KUCHUNGUZA MIOYO YETU...HAKIKISHA MUDA WOTE MOYO WAKO UNAKUWA SAFI MTU WA MUNGU.
*_M B A R I K I W E WOTE_*
Mzima kabisaSalama wa salmin shemeji, vipi ndugu yangu jirani hajambo!?