Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nimejaribu kuzoom inn kwa huyo mpitaji yumo japo havumi
Hawez kuwa na nyayoo kama zilee

Umemuonaaa lakiniii
Nakwambia mimi, huu ni unyayo wake, naujua vizur angekuwa kavaa viatu hapo sawa wangekuwa wakina shunie, tumosa, blessedhope na wengine.. ila huyu ni lovely mum tu.

Maana humu wasiovaa viatu ni wawili tu yrye na husna, sasa unyayo wa husna haupo hivi..
Mmmhh
Nauliza tena usinichokeee....umemuonaaa??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom