makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,429
- 108,445
Ni poa aiseeMambo vp
Ni poa aiseeMambo vp
[emoji15] [emoji35] [emoji35] [emoji35] Vip mbona unatutimulia vumbi, ustaarabu ni kitu cha bure bibie..[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100]
Bora umemuonaa[emoji15] [emoji35] [emoji35] [emoji35] Vip mbona unatutimulia vumbi, ustaarabu ni kitu cha bure bibie..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji15] [emoji35] [emoji35] [emoji35] Vip mbona unatutimulia vumbi, ustaarabu ni kitu cha bure bibie..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Makaveli upoNi poa aisee
Vumbi Mpaka wee sikuoni ujue.. kama kimepita kimbunga cha jangwani..[emoji23]....kwa hiyo kachafua hali ya hewa?
Hata kumuona sijamuona, nimeotea tu, mie nimeona vumbi tuu..[emoji23] [emoji23] [emoji23]Bora umemuonaa
Nipo, vipi hali ndugu yangu!?Makaveli upo
Anko....kwa hiyo kachafua hali ya hewa?
Sema ukwelii ??Hata kumuona sijamuona, nimeotea tu, mie nimeona vumbi tuu..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli vile sijui hata kapita nani, labda niziangalie nyayo ndio naweza nikaotea kapita nani..Sema ukwelii ??
Nionee shunie
Yaani kajamba[emoji1] [emoji1]....kwa hiyo kachafua hali ya hewa?
Nimejaribu kuzoom inn kwa huyo mpitaji yumo japo havumiKweli vile sijui hata kapita nani, labda niziangalie nyayo ndio naweza nikaotea kapita nani..
Kama weweYaani kajamba[emoji1] [emoji1]
[emoji57] [emoji57] [emoji57]Kama wewe
Sogea hapa, njoo uone..Nimejaribu kuzoom inn kwa huyo mpitaji yumo japo havumi
Katimua vumbi bhana..[emoji23] [emoji23]Yaani kajamba[emoji1] [emoji1]
Hawez kuwa na nyayoo kama zileeSogea hapa, njoo uone..
Umeona hizi nyayo, hizi ni za lovely mum hiz, maana husna hana miguu ya hiv!!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakwambia mimi, huu ni unyayo wake, naujua vizur angekuwa kavaa viatu hapo sawa wangekuwa wakina shunie, tumosa, blessedhope na wengine.. ila huyu ni lovely mum tu.Hawez kuwa na nyayoo kama zilee
Umemuonaaa lakiniii
Nauliza tena usinichokeee....umemuonaaa??Nakwambia mimi, huu ni unyayo wake, naujua vizur angekuwa kavaa viatu hapo sawa wangekuwa wakina shunie, tumosa, blessedhope na wengine.. ila huyu ni lovely mum tu.
Maana humu wasiovaa viatu ni wawili tu yrye na husna, sasa unyayo wa husna haupo hivi..[emoji23] [emoji23]