Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
2003 - Bertram Brockhouse, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikiamwaka wa 1994 alifariki
Tarehe 13 Oktoba ni siku ya 286 ya mwaka (ya 287 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 79.
1890 - Conrad Michael Richter, mwandishi kutoka Marekani alizaliwa
1940 - Pharaoh Sanders, mwanamuziki wa Jazz kutoka Marekani alizaliwa
1925 - Frank D. Gilroy, mwandishi kutoka Marekani alizaliwa
2003 - Bertram Brockhouse, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikiamwaka wa 1994 alifariki
1973 - Sven Constantin Voelpel, mtaalamu wa biashara na umenejakutoka Ujerumani alizaliwa
1934 - Nana Mouskouri, mwimbaji kutoka Ugiriki alizaliwa
Na hapo ndio mwisho tukutane tmr
Husobe
Morning mkuu!Morning KF family
ZinasogeaaTarehe 13 Oktoba ni siku ya 286 ya mwaka (ya 287 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 79.
Happy bday1563 - Mtakatifu Fransisko Caracciolo, padri mwanzilishi kutokaItalia alizaliwa
AsanteeNa hapo ndio mwisho tukutane tmr
Husobe
Shukrani mtu na mchepuko wake
Shukrani mtu na mchepuko wake
Sawa sawa....sio mchepuko! Ni mpendwa na mpenzi kwa mfuatano na mlalano sahihi
Hivi uliisomaHii ntaisoma baadae
Ongezea bwana maka![]()
![]()
natamani niongezee ila sioni umuhimu,
![]()
![]()
![]()
Umekuwa shunie, wacha tumuite husna tuje kukucheza ngoma..![]()
![]()
![]()
Mimi apaSema ukwelii ??
Nionee shunie