Nimeona jinsi ulivyomjibu jamaa ndo nikaona jinsi ulivyo smart, tupo wengi sana hapa na tuna malezi tofauti na tumekua maeneo tofauti pia, hivyo sometimes inabidi kuvumiliana tu na kuchukuliana kistarabu kama ulichofanya. Nimependa sana, one love