Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Taratiibu mkuuAna hatare
Taratiibu mkuuAna hatare
Hapa ni peace and loveMakapuku jeuri, ama vp
Sikukanyag mkuu , nipo upande wangTaratiibu mkuu
Si haba hesabu inasogea pole pole13,098
Ndio ila nawewe uwe unapost pia ila sisi tukulike piaNtafanya haka kautaratibu kama utambulisho wangu... Ntakua nagawa sana likes chini kwa chini, naionaga hii kwa lizziebettie sometimes
Dah ustaarabu ni kazi, wakati mwingine natamani kama ungekua unauzwa dukani.. Ningeununua na kuna watu ningewagea bureeeGentlemen
Ahhhhhh anaaaaaaaHapa ni peace and love
Si haba hesabu inasogea pole pole
Si haba hesabu inasogea pole pole
Sa atakujuaje?? Manake raha ya pastor umaarufuAchaga hixo. Utambulisho wa nini?
Acha aone mwenyewe
Kesho mapema wewe ni 2Si haba hesabu inasogea pole pole
Ooooh yasHapa ni peace and love
Nimeona jinsi ulivyomjibu jamaa ndo nikaona jinsi ulivyo smart, tupo wengi sana hapa na tuna malezi tofauti na tumekua maeneo tofauti pia, hivyo sometimes inabidi kuvumiliana tu na kuchukuliana kistarabu kama ulichofanya. Nimependa sana, one loveDah ustaarabu ni kazi, wakati mwingine natamani kama ungekua unauzwa dukani.. Ningeununua na kuna watu ningewagea bureee
Yeah ndio inavyoonekanaKeshoapema utakuwa da 2
Hahahahahahaha nimecheka sanaaaHaa
Sikukanyag mkuu , nipo upande wang
Pamoja sanaNimeona jinsi ulivyomjibu jamaa ndo nikaona jinsi ulivyo smart, tupo wengi sana hapa na tuna malezi tofauti na tumekua maeneo tofauti pia, hivyo sometimes inabidi kuvumiliana tu na kuchukuliana kistarabu kama ulichofanya. Nimependa sana, one love
Ulale salamaIlipendeza sana kuwa nanyi...endelezeni...usikumwema wote, sorry kwa nilio wakwaza kama niah na wengine but I love you all.
Pumziko jema mkuuIlipendeza sana kuwa nanyi...endelezeni...usikumwema wote, sorry kwa nilio wakwaza kama niah na wengine but I love you all.
Pamoja sana mkuuPumziko jema mkuu