Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Ni kweli kabisa usemayoProbably.. Kama ilimponyoka itakua imemsuprise mpaka ye mwenyewe
Ni kweli kabisa usemayoProbably.. Kama ilimponyoka itakua imemsuprise mpaka ye mwenyewe
Hiyo inanifaa sanaWe ulikuwa unapenda uwe kwenye nafasi gani??
Umeosha sana mkuu
MzururajiWe ulikuwa unapenda uwe kwenye nafasi gani??
Hata mi nilipenda kujuaHahaha kwan ulikua unatafuta nafasi ipi mkuu?
Ulale unono mkuuGoodnight wote humu
Hiyo ipi sasa??Hiyo inanifaa sana
We si ulishaaga?? Haya kazuruleMzururaji
Nadhani atakua anaku-monitor kimya kimya ukilala na ye ndo alaleWe si ulishaaga?? Haya kazurule
Hapo basi atakuwa na kazi..... Manake hata uwezo wa kukesha ninao piaNadhani atakua anaku-monitor kimya kimya ukilala na ye ndo alale
Hahaaa hilo nalo neno..Hapo basi atakuwa na kazi..... Manake hata uwezo wa kukesha ninao pia
Mkuu anytime nalala..... Manake nasinzia hatareHahaaa hilo nalo neno..
Ipi sasa mbona hufunguki????Umeona hyo
Mkuu
Kuwafanya mtikise mbavu bila ridhaa yenuHiyo ipi sasa??
Ooh okay hapo sasa nimekuelewaKu
Kuwafanya mtikise mbavu bila ridhaa yenu
Usijali bibie, ndoto njema... Mi bado nazuga na joti wa makapuku japo naona na ye ameshaanza kubeepMkuu anytime nalala..... Manake nasinzia hatare
Sawa kabisa mkikomaa mnafikisha malengo nyie tu wawili...Usijali bibie, ndoto njema... Mi bado nazuga na joti wa makapuku japo naona na ye ameshaanza kubeep
Asante sana usiku mwema kwako na ndoto njema pale utakapolalaUsijali bibie, ndoto njema... Mi bado nazuga na joti wa makapuku japo naona na ye ameshaanza kubeep