Makapuku Forum

Achaga sifa basi niah!!!!
Nikikublock usinichukie sababu wewe kwanza uniambie kama mimi ni bibi au?? Nimejitangaza kwamba mimi kibibi kungwa ila naingia humu kuwacheck ila kama na wewe ni babu basi uniambie na uorodheshe idadi n ya wajukuu na vitukuu ili tushindane. Ikiwezekana wachore na picha zao namaanisha kuchoraaa sitaki kuwa shahidi ukishtakiwa kwenye kesi ya mitandao,.
 
Skiliza..kama wew ni bibi single niambie nigongee, mbona unanitisha!
Ukiniblock sina hasara sili mitandaoni.
Na sio lazima kwangu kuingia humu.
Au neno kapuku linakupa shida..
Mimi niko fiti..ni block tu haina noma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…