Makapuku Forum

Makapuku Forum

Inshaallah.. tuombe uhai na uzima ndugu yangu..
Mkuu

Dyuu Dyuu kila mtu anaipenda lakini at intervals..

Nilishafanyaga huo ujinga nikiwa Advance lakini niliponea kufukuzwa shule mkuu..

Nilishalala polisi nikiwa form Five, kisa hayo mambo mkuu . Ila nahisi ulikuwa utoto tuu.

The day i spotted out that i was an asset i stopped all the risk games i was playing...

Nilipitia maisha fulani hivi...Sema Mungu yupo aiseee.... Nilikuja kubadilika and i totally changed..

I have one partner! And thats the one for all.
 
Dooooh

Sawa mkuu..

Unatumia kinga lakini au weww kila samaki unakula na miiba yake?
Nilikuwa nna ujinga wa kutokutumia, hata nikitumia lazma ntaitupa baadae sababu ya wazungu kuchelewa, hii ikaniletea mtoto.. ila siku hizi sifanyi fanyi, ninafanya tuu, nnaekuwa nae katia mahusiano ndio huyo hyo sivurugi madawa.. nshapona kipindi kile siwez jichanganya sasa

Uzuri nilikuwa sipendelei sana wa kujiuza, lile tendo mie si nnalipenda kwa hyo hawa wa kujiuza najionea tabu sababu nakuwa nafanya mie tuu, mie nilikuwa hawa mademu wa kawaida ila ndio lilikuwa lundo.. juzi nilijaribu kutengeneza list yangu kwa wale niwakumbukao, nikabaki kushika kichwa na kumshukuru mungu kwa niliyopitia..
 
Aseew!

Mmm! Polee mkuu..

Sasa kama vipi weka mke ndani kabisaa...! Kuna Faida ya kufanya hivyo tofauti na kuwa bachelor...

You need some respect now..!

Plan to change that life style now..
 
Mkuu

Dyuu Dyuu kila mtu anaipenda lakini at intervals..

Nilishafanyaga huo ujinga nikiwa Advance lakini niliponea kufukuzwa shule mkuu..

Nilishalala polisi nikiwa form Five, kisa hayo mambo mkuu . Ila nahisi ulikuwa utoto tuu.

The day i spotted out that i was an asset i stopped all the risk games i was playing...

Nilipitia maisha fulani hivi...Sema Mungu yupo aiseee.... Nilikuja kubadilika and i totally changed..

I have one partner! And thats the one for all.
... Mkuu we acha tu, kikubwa tumshukuru mungu kwa tuliyopitia.
Mie nimeponea chupuchupu.. form 5 nilikuwa azania pale, sasa nna goma liko kariakoo mazaa wake ni mtu wa mishe sana, faza aishvuta, anakuwa anabki n beki 3, sasa maza akisafiri nahamia hapo, napiga papuchi ya kiarabu usiku kucha asubuh natinga uniform nazama xcul, niliponea chuluchupu kunaswa.. tuliishia kwenye mimba ila ilitoka, ningekuwa nna watoto wangapi sijui mpak leo hii.
 
Nilikuwa nna ujinga wa kutokutumia, hata nikitumia lazma ntaitupa baadae sababu ya wazungu kuchelewa, hii ikaniletea mtoto.. ila siku hizi sifanyi fanyi, ninafanya tuu, nnaekuwa nae katia mahusiano ndio huyo hyo sivurugi madawa.. nshapona kipindi kile siwez jichanganya sasa

Uzuri nilikuwa sipendelei sana wa kujiuza, lile tendo mie si nnalipenda kwa hyo hawa wa kujiuza najionea tabu sababu nakuwa nafanya mie tuu, mie nilikuwa hawa mademu wa kawaida ila ndio lilikuwa lundo.. juzi nilijaribu kutengeneza list yangu kwa wale niwakumbukao, nikabaki kushika kichwa na kumshukuru mungu kwa niliyopitia..
Mungu akusaidie na magonjwa katika harakati zako za kuwakula totoz
 
... Mkuu we acha tu, kikubwa tumshukuru mungu kwa tuliyopitia.
Mie nimeponea chupuchupu.. form 5 nilikuwa azania pale, sasa nna goma liko kariakoo mazaa wake ni mtu wa mishe sana, faza aishvuta, anakuwa anabki n beki 3, sasa maza akisafiri nahamia hapo, napiga papuchi ya kiarabu usiku kucha asubuh natinga uniform nazama xcul, niliponea chuluchupu kunaswa.. tuliishia kwenye mimba ila ilitoka, ningekuwa nna watoto wangapi sijui mpak leo hii.

Bablai ulikuwa na masaibu kama Madenge wewe..

Stori za mimba sizikie kwa jirani tuu ! Hiyo kitu ilikuwa ni stress..! Sasa unajielewa hata ukiwapa 10 hakuna unalea tuu (Kutoa mimba ni dhambi).

All in All if you a believer ! Pray for changes.
 
Aseew!

Mmm! Polee mkuu..

Sasa kama vipi weka mke ndani kabisaa...! Kuna Faida ya kufanya hivyo tofauti na kuwa bachelor...

You need some respect now..!

Plan to change that life style now..
For sure.. ila hili linataka utulivu, c unajua mke ni hatua kubwa, so nikipata sahihi ntaoa, tatzo umalaya umeniathir, sijui kupenda ila naweza kuonesha upendo kwa anaenipenda, so nahtaji mwanamke kwa ajili yangu, yule asiyeweza bila ya mim, ndio niweke ndan, awe mzur ama mbaya, muhim anipende tuu maana hamna jipya kwangu... Ila tofauti na hapo ntachelewa sana kuoa... Wanawake ni mtihani ndugu yangu
 
... Mkuu we acha tu, kikubwa tumshukuru mungu kwa tuliyopitia.
Mie nimeponea chupuchupu.. form 5 nilikuwa azania pale, sasa nna goma liko kariakoo mazaa wake ni mtu wa mishe sana, faza aishvuta, anakuwa anabki n beki 3, sasa maza akisafiri nahamia hapo, napiga papuchi ya kiarabu usiku kucha asubuh natinga uniform nazama xcul, niliponea chuluchupu kunaswa.. tuliishia kwenye mimba ila ilitoka, ningekuwa nna watoto wangapi sijui mpak leo hii.
Kama ulikua Azania sipati picha watoto wa jangwani na zanaki ulivyokuwa unawabadili maka shikamoo
 
For sure.. ila hili linataka utulivu, c unajua mke ni hatua kubwa, so nikipata sahihi ntaoa, tatzo umalaya umeniathir, sijui kupenda ila naweza kuonesha upendo kwa anaenipenda, so nahtaji mwanamke kwa ajili yangu, yule asiyeweza bila ya mim, ndio niweke ndan, awe mzur ama mbaya, muhim anipende tuu maana hamna jipya kwangu... Ila tofauti na hapo ntachelewa sana kuoa... Wanawake ni mtihani ndugu yangu
Mungu akusaidia maka na akutoe hiyo roho uliyokuwa nayo
 
Sitaki T ujue hii mara ya pili unapanick tuuu unakumbuka mara ya kwanza ulivyonifokea hapa mpaka baba d alikasirika akanifokea sana
Shunie...

Mimi na weww ni ma besti bhana..!

Hakuna cha kupanick wala nini.

Just calm down tuendelee kuyajenga..

Afu ujue mim na wee tumetoka mbali..
 
For sure.. ila hili linataka utulivu, c unajua mke ni hatua kubwa, so nikipata sahihi ntaoa, tatzo umalaya umeniathir, sijui kupenda ila naweza kuonesha upendo kwa anaenipenda, so nahtaji mwanamke kwa ajili yangu, yule asiyeweza bila ya mim, ndio niweke ndan, awe mzur ama mbaya, muhim anipende tuu maana hamna jipya kwangu... Ila tofauti na hapo ntachelewa sana kuoa... Wanawake ni mtihani ndugu yangu
Dooh...

Kazi kweli ! Ila nahisi kuna muda utafika utahitaji kubadilika..utahitaji mke wakati huo

Time zone is all what matters..! Muda wako bado ...ila kuwa makini tuu mtu wangu..

Mimba sio ishu! Ishu ni magonjwa..
 
Kama ulikua Azania sipati picha watoto wa jangwani na zanaki ulivyokuwa unawabadili maka shikamoo
Huwez amin tukjumlisha hawafiki hata watano, tatzo sijawahi penda watoto, magoma yangu ilikuwa ni wale walioniacha umri tena wengine parefu tu, kuwa na mtu age moja nilikuwa naona km najidhalilisha sijui najitukanisha.. ni wachache saana tulikuwa umri tunaenda. Like huyo mtoto wa k/koo
 
Sitaki T ujue hii mara ya pili unapanick tuuu unakumbuka mara ya kwanza ulivyonifokea hapa mpaka baba d alikasirika akanifokea sana
Afu ujue mimi nina pure heart..!
Huwa siweki kitu moyoni mimi..

Nilisahau hata kama nilishafanyaga hivyo..

Potezea bhana! Lets move on.
 
Mungu akusaidia maka na akutoe hiyo roho uliyokuwa nayo
Nashukuru mungu kanisaidia saana, nakumbuka kuna jamaa yangu juzi kati aliniambia tycoon siku hizi umepoa, yaan kama sio wewe...

Now days shunie huwez amin, inaweza ikapita miez sina mahusiano halaf am just fine siwaz wala sion kama ni tatizo.. na nikitulia na mmoja ni huyo huyo, sina ushamba ule, wakat kitambo kidogo ilikuwa siku 2, 3 mpya. Siku moja naweza nkaruka na huyu nikaimalizia siku na yule, ila siku hizi namshukuru mwenyez kwa kweli, mpaka mim mwenyewe naona mabadiliko..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom