Makapuku Forum

Makapuku Forum

Aiseeee basi hufananii ujue
Sio wewe tu, hata watu wanaonijua hawaamin, wanajua mie napiga maji ya dhahabu, ila ni kitu ambacho mwenyewe niliweka nadhiri toka kitambo kwamba mie sintakunywa pombe..

Halaf cha ajabu sasa nilikuwa mvuta bangi mzur tuu, nmevuta toka form 2 mpaka cha 6, na nimekuja kuacha mwenyewe, wakat nakarbia kuacha ndio watu wanakuja kushtuka kama mie ni mvutaji hawakuamin kabisa, kwa jinsi nilivyo mtaan, sasa nikimwambia mtu mie sinywi pombe ndio kabisa, yuko radhi nimkate kofi ila si kumwambia sibugi maji hago.
 
Mungu akusaidie nadhiri yako usije ivunja maka yaan hufananiii pamoja na kuwa sikujui
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom