Muziki wa Mdhamini
Ni chaguo la Shunie na japokuwa kuna masuala ya utekwaji yaliyomkuta anko wangu popote alipo ninapopajua basi anko mdogo Lyon Lee apokee dedication hii maana ni muhimu anko wangu ajue na akishajua basi sisi wengine tunaungana naye kuhakikisha dawa alizorogezewa zinafanya kazi vizuri.
Chief umeshiba??Mchezo mzur napenda kuutizama ni ule wa kushindanisha vikojoleo..
Hatutaki tabu za kufungua ma nailoni sie, sijui mpaka uchukue kisu mara nin sijui.. aka...hutaki kitu new
SijamuelewaYaan binamu jaman nimejikuta nacheka tu hivi una niniii lakini asante jamaan binamu yangu tunakupenda sisi
Kinywaji gani hukipendi?Teh teh teh.. huo ndio ukidume, huwez kuwa na mwanamke mmoja, kwan mama yako mzaz huyo.. (in sheikh kipozeo's voice)
Kitumbo ndii.. natafuta ufagio nijifagie..Chief umeshiba??
Huyu anko ni shida sanaHuyo ndio obe bwana, kila kwenye gest ana demu..
Mtaan kwake ana mademu wengi kuliko idadi ya wanawake walio singo, sasa jiulize hao waliozid ni kina nani!!?
Si kama hvyo shunie..Hivi naanzaje kukuchimba me na wewe maka jaman
Hujamuelewa wapi shem jaman si ameelezea hapoSijamuelewa
Hapana niko macho kitambo tuuNaona ndio umeamka
Mnataka magume gumeHatutaki tabu za kufungua ma nailoni sie, sijui mpaka uchukue kisu mara nin sijui.. aka...
Katekwa wapi kwani
Ata wanaotafuta wafanyakazi huwa naona wanatafuta wenye ujuzi utasikia miaka 3 na kuendeleaaHatutaki tabu za kufungua ma nailoni sie, sijui mpaka uchukue kisu mara nin sijui.. aka...
Leoo show show auKitumbo ndii.. natafuta ufagio nijifagie..
Hapana buana ni baba d ndio aliandika ujue alishika simu yanguSi kama hvyo shunie..
Mie nataka aliyepitia kwa mabwana 10 na kuendelea...Ata wanaotafuta wafanyakazi huwa naona wanatafuta wenye ujuzi utasikia miaka 3 na kuendeleaa
Aahahahhhh acha nijiandae kulalaAta wanaotafuta wafanyakazi huwa naona wanatafuta wenye ujuzi utasikia miaka 3 na kuendeleaa
Kama kawaida yangu, show show..Leoo show show au
Yaliyoshindikana na mitume..Mnataka magume gume