Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Voooouuuudaakoomuuu powaaaa too yuuTigoooo exepres yourself
Voooouuuudaakoomuuu powaaaa too yuuTigoooo exepres yourself
Nahis ni panasonicSio Siemens
Teh teh teh...Mda tu utatuambia mbivu na mbichi
Siku hizi umekomaa sasa shunieNdoa hupangwa na Mungu na ukiona unaemchagua hakupelekei kwenda kwenye ndoa rudi kwa Mungu
Mwambie Mungu nampenda Fulani kama ni wangu kwa maisha yangu nisaidie na kama sie ni huyu anaeletwa bas nipe mapenzi
Habar za kumng'ang'ania mwanaume unajuaje kama ndo huyo wa kwako haya mambo sio kung'ang'ania muombe Mungu atakusimamishia tu wakwako
Na utampenda na kuishi vizur usianze kusema sio chaguo langu,,huyo mwingine nani alikwambia chaguo lako
Ndo siku mbili unaolewa ooh bora ningewasikiliza wazazi, waume wakuchaguliwa sio wazuri ila inapotokea migogoro simama na Mungu akupe wako![]()
Muwe na mchana mwema
Hii inaitwa preparation for kwichi kwichiApo enzyme za kisikinase zinafanya kazi kabla ya chinikinase hazijastimuleitiwaa
Poa ndugu yangu...Kila kitu niliambiwa maka yaan asante sana kwa moyo wako kuroot simu kwangu big no acha matangazo yaendelee kuwepo jamam
Ina raha yakeeHii inaitwa preparation for kwichi kwichi
Sili kwako mieeMsela wangu mwenyewe mweee!!
Karibu tule
Sijasema, na siwez kusema ndugu yanguMazito ya siri maka ebu ukuje
Au Wa kina kaoge nyieeAahhh.. hii rede ya suruali
Anataka kutufuruga..Maka![]()
anahusika vipiii na mimi
MadinaMaka
Acha hizo mkuuSi mm naona anakupaga makopa kopa au ni husna kakufundisha
Nimekuja..Uniambiee akija
Baeleze![]()
makopa kopa napewa na baba d tu
Kwani kuna ubaya wowote kumpa na yeye akakuimbia papaa ya gigy centAcha hizo mkuu