Makapuku Forum

Nahofia ntazaa tatzo jingine.
Jichunguze akilini kwako nn kinakutatiza then ujaribu kukipotezea
Ukiwa na msongo Wa mawazo inaweza kupelekea ukakosa usingizi
Na hatimaye ubongo wako utachoka coz utakuwa hauna muda Wa kupumzika
Na hapo sasa ndipo utakapoanza kuongea pumba

Na kuanza kujiuliza"kulikoni"

Usingizi ni muhimu kwa afya yako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…