AminZaburi 131
1 BWANA, moyo wangu hauna kiburi, Wala macho yangu hayainuki. Wala sijishughulishi na mambo makuu, Wala na mambo yashindayo nguvu zangu.
2 Hakika nimeituliza nafsi yangu, Na kuinyamazisha. Kama mtoto aliyeachishwa Kifuani mwa mama yake; Kama mtoto aliyeachishwa, Ndivyo roho yangu ilivyo kwangu.
3 Ee Israeli, umtarajie BWANA, Tangu leo na hata milele.
MBARIKIWE
Niko poa kabisa mkuu, za pande hizoUko poa mkuu?
Apo sawa mkuuNiko poa chief
Nilisoma sehemu.
Morning too MwifaMorning mkuu Shululu
Hilo halina ubishiSarafu imeshuka tuache siasa
Na wewe pia.View attachment 606060Asubuhi njema wadau
Na wewe pia.
Ahsante sana kwa font ferd kwa udhamini mnono wa mimi mwenyewe
Umelala kazini ??Wacha nilale sasa
Ubarikiwe sana kazi yako ni njemaView attachment 606060Asubuhi njema wadau
ubarikiwe sanaZaburi 131