Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Bora urudi tuu utupe update..Zimbabwe
Nyagei
Bora urudi tuu utupe update..Zimbabwe
Nyagei
Hahaha...Humu ndani kuna machejo naona jina Nyagei lipo kimadoido imekuwaje hapo?
Nyagei
Asante kaka.Halaf atakuja kukana.. hbd mkuu transcend
Asante mama mchuchu.Zaburi 131
1 BWANA, moyo wangu hauna kiburi, Wala macho yangu hayainuki. Wala sijishughulishi na mambo makuu, Wala na mambo yashindayo nguvu zangu.
2 Hakika nimeituliza nafsi yangu, Na kuinyamazisha. Kama mtoto aliyeachishwa Kifuani mwa mama yake; Kama mtoto aliyeachishwa, Ndivyo roho yangu ilivyo kwangu.
3 Ee Israeli, umtarajie BWANA, Tangu leo na hata milele.
MBARIKIWE![]()
![]()
Shululu badilisha hiyo avatar mkuu.Tupate dondoo za magazeti ya leo kwa udhamini mnono wa Mwifa
Ubarikiwe Obe mzima lakini ubarikiweHabari za asubuhi wadau
Shukrani shululu kwa magazeti, unaifanya KF iwe sehemu nzuri kuhabarika kila asubuhi.
Asante Lyon Lee kwa UF, tunajiongezea maarifa tu
Asante BlessedHope kwa salama na mibaraka ya asubuhi.
Tuwe na siku njema katika masaa yote yaliyobakia
Ubarikiwe sanaAsante mama mchuchu.
Njema ubarikiwehabari ta asubuhi wapendwa.....
Nawe piaubarikiwe sana
Kwema Mungu yu mwemaKwem huku wadau
Asante madamUbarikiwe sana
KaribuAsante madam
Ubarikiwe Obe mzima lakini ubarikiwe