Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jaman kwenye kuweza kunisaidia anisaidie aisee napata shida au sijui niende jukwaa la tec simu yangu inaniletea matangazo yaan upo busy na kuchat mtangazo huo kwa screen yaan mengine hata aibu
Tafuta app ya ad blocks, lakin nzur ni za kulipia..

Na inakutokea hvyo ukiwa unachat kwenye app gani au zote!? Na simu ipi unatumia!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom