Zaburi 130
1 Ee BWANA, toka vilindini nimekulilia.
2 Bwana, uisikie sauti yangu. Masikio yako na yaisikilize Sauti ya dua zangu.
3 BWANA, kama Wewe ungehesabu maovu, Ee Bwana, nani angesimama?
4 Lakini kwako kuna msamaha, Ili Wewe uogopwe.
Jpili njema kwetu sote Mbarikiwe