...asante kwa ufafanuzi, haya mambo ya kileleni bhana mtu kama mjomba wangu bila kumfafanulia hivi utamwingiza dhambini bure atataka kwenda kwa MC akamdadavue vizuri
Mind you, kumdadavua ni kumchimba ili aelewe yaani afike kileleni, am I making myself clear or what?