Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
1889 - Kilele cha Kilimanjaro kimefikiwa mara ya kwanza
Asante mpendwa wangu kwa kukileta kipengele hiki, kabla sijaenda kusaka hela ya bakulutu ngoja nikifuatilie
...alisifika kwa 'nepotism' kuweka madarakani watu wenye nasaba naye na pia kkujilimbikizia mali katika mji aliozaliwa Venice
Ni mpwawa au mkwawa?!Vizuri sana hivi picha ya mtemi mpwawa haipo mbona tunaona za wazungu tu za miaka ya hiyo iliyopita.
1862 - Albert Beveridge, mwanasiasa na mwandishi kutokaMarekani
Alizaliwa
...hapa ni lazima tuweke tofauti maana kuna kilele cha Kilimanjaro na kunakukifikia kilele, sasa sijalewa nitaenda na maana ya kihistoria
Ni hiki hapa chini ...
na sio kilele kwa maana ya orgasm maana Ijumaa hii huwezi kujua mtu kaianza saa ngapi
...akiwa senata hakupenda 'majimbo' ya New Mexico na Arizona yatwaliwe na USA kwa kuwa tu hayakuwa na 'weupe'wengi. Haya yalijaa Walatino na 'wenyeji' ambao kwake aliwaona kutokuwa na akili timamu za kujua maana ya kujitawala. Hata hivyo hakufanikiwa
Vizuri sana hivi picha ya mtemi mpwawa haipo mbona tunaona za wazungu tu za miaka ya hiyo iliyopita.
AminaaNENO LA SIKU
YAKOBO
5:15-18
Ungameni dhambi zenu ninyi kwa ninyi, na kuombeana, mpate kuponywa. Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii. Eliya alikuwa mwanadamu mwenye tabia moja na sisi, akaomba kwa bidii mvua isinyeshe, na mvua haikunyesha juu ya nchi muda wa miaka mitatu na miezi sita. Akaomba tena, mbingu zikatoa mvua, nayo nchi ikazaa matunda yake.
SIKU NJEMA WAPENDWA TUOMBEANE...LOVE YOU
Karibu kapukunambie mwaya...
Anko heshima kwako.....nimeamka salama salama sana BH, hofu kwako
1981 - Anwar Sadat, rais wa Misri, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka 1971 alifariki