Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Tupo pamoja kamanda ila mwakani naachana na kilimo nahamia biasharaAnhaa.!! Sawa captain hapo nimekupata
Tupo pamoja kamanda ila mwakani naachana na kilimo nahamia biasharaAnhaa.!! Sawa captain hapo nimekupata
Safii, biashara gan captainTupo pamoja kamanda ila mwakani naachana na kilimo nahamia biashara
Bado nafanya utafiti na tathimini maana naona biashara nyingi zinakuwa na wafanyaji wengi napenda nitengeneze biashara nitakayo kuwa peke yangu hata wengine wakija wabaki wanaigaSafii, biashara gan captain
Aisee, ni bora ukawa na kitu cha kipekee maana sasa hiv biashara ni ushindani mkubwaBado nafanya utafiti na tathimini maana naona biashara nyingi zinakuwa na wafanyaji wengi napenda nitengeneze biashara nitakayo kuwa peke yangu hata wengine wakija wabaki wanaiga
Ni kweli na biashara ili ufanikiwe ni kutoka nje ya mji ambako huduma zinawafikia kwa kusuasua na hapo ndo utatusua mapene ya uhakika mpaka wanashtuka waje wengine unakuwa usha songa hatua na umejiimalishaAisee, ni bora ukawa na kitu cha kipekee maana sasa hiv biashara ni ushindani mkubwa
Hajambo jamaniIla hujanijibu mwenzako ajambo??
Heeheheh hayaHajambo jamani

Naam...!! Ila hilo wengi hawaja linguandua cpatainNi kweli na biashara ili ufanikiwe ni kutoka nje ya mji ambako huduma zinawafikia kwa kusuasua na hapo ndo utatusua mapene ya uhakika mpaka wanashtuka waje wengine unakuwa usha songa hatua na umejiimalisha
nakutakia kila lakheri ktk mipango yako Mungu akuongozeAmeni naamini mungu ni mwema kwetu soteNaam...!! Ila hilo wengi hawaja linguandua cpatainnakutakia kila lakheri ktk mipango yako Mungu akuongoze
Mbona unachekaHeeheheh haya![]()
Jibu lako limenifurahishaMbona unacheka
Ok, so umelenga kutoka nje ya mji ktk hiyo biashara yako unayo tarajia kuanzaAmeni naamini mungu ni mwema kwetu sote
Nilifanya utafiti wangu wa kibiashara niligundua mambo mengi sana maana mjini ili uweze kuuza lazima uwe na mtaji mkubwa na uwe na bei ya chini kuliko wenzio
Ukiwa na mtaji wa kawaida utapata hela sio unayo itaka
Lakin ukitoka nje ya mji utatengeneza pesa nyingi kwa mtaji kidogo
Unacho paswa kufanya ni uaminifu katika biashara zako na hii ndo itakuwa nguzo ya biashara yako
Ndio mkuu naendelea na utafiti ili niifanye kwa maslahi mapanaOk, so umelenga kutoka nje ya mji ktk hiyo biashara yako unayo tarajia kuanza
Sawa, naamini kuna kitu kikubwa utakifanya kwa uwezo wa MunguNdio mkuu naendelea na utafiti ili niifanye kwa maslahi mapana
AmenSawa, naamini kuna kitu kikubwa utakifanya kwa uwezo wa Mungu
Kivip yaaniJibu lako limenifurahisha
Basi tuKivip yaani

SawaBasi tu![]()
Oghe..!!Sawa