Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Vyuma kawaida kila sehemu ila ndo hivyo ili utusue unahitaji unahitajika uvumilivuHali tete bro..! Watoto wa mjini wanasema vyuma vimekaza
Vyuma kawaida kila sehemu ila ndo hivyo ili utusue unahitaji unahitajika uvumilivuHali tete bro..! Watoto wa mjini wanasema vyuma vimekaza
Ameni cha kwanza uzima mengine yanafuataIla Mungu mwema tunaishi..!!
Ni kwel ngoja tupambane maana hamna namnaVyuma kawaida kila sehemu ila ndo hivyo ili utusue unahitaji unahitajika uvumilivu
Kweli bos wangu fursa gani inapatikana hapo ulipoNi kwel ngoja tupambane maana hamna namna
Kabisa vyote vinatafutwa ukiwa na uzima vp kilimo kinaendajeAmeni cha kwanza uzima mengine yanafuata
Kilimo kinaenda vizuri saizi niko mjini kuna mambo nashughulikiaKabisa vyote vinatafutwa ukiwa na uzima vp kilimo kinaendaje
Aisee hapa nilipo sehemu ambayo inakua kinyerezi biashara ya chakula naona hapa inalipaKweli bos wangu fursa gani inapatikana hapo ulipo
Najipanga niki kaa vizur nataka kulima mpunga nitakustua unipe mlolongo woteKilimo kinaenda vizuri saizi niko mjini kuna mambo nashughulikia
Mpunga sijawahi kulima mkuu japo natamani sana kulimaNajipanga niki kaa vizur nataka kulima mpunga nitakustua unipe mlolongo wote
Mgahawa au chakula kwa maana sokoni mchele unatembea maharage yanatembeaAisee hapa nilipo sehemu ambayo inakua kinyerezi biashara ya chakula naona hapa inalipa
Oooh poaSamaki mpaka ndani mi nilikuwa ofisi fulan hapa
PoleHali tete bro..! Watoto wa mjini wanasema vyuma vimekaza
AsantePole

Kamanda wewe unalima nin kama nakumbuka ulinambia unalima mpungaMpunga sijawahi kulima mkuu japo natamani sana kulima
Ila hujanijibu mwenzako ajambo??
Nilikwambia mazao ya chakulaKamanda wewe unalima nin kama nakumbuka ulinambia unalima mpunga
Sawa dadaOooh poa
Anhaa.!! Sawa captain hapo nimekupataNilikwambia mazao ya chakula