Zaburi 126
1 BWANA alipowarejeza mateka wa Sayuni, Tulikuwa kama waotao ndoto.
2 Ndipo kinywa chetu kilipojaa kicheko, Na ulimi wetu kelele za furaha. Ndipo waliposema katika mataifa, BWANA amewatendea mambo makuu.
3 BWANA alitutendea mambo makuu, Tulikuwa tukifurahi.
4 Ee BWANA, uwarejeze watu wetu waliofungwa, Kama vijito vya Kusini.
WIKI NJEMA,JUMATATU NJEMA SIKU NJEMA MBARIKIWE