Makapuku Forum

Ameen
 
Duu
 
Muziki: Stop Pretending

Leo ni furahiday, yes, kama ulikuwa hujui sitaacha kukukumbusha kuwa bila wewe kuwepo hapa Kapuku Forum itabaki kuwa dormant tu na sio dorminant kama sasa kwa sababu wewe unaifanya idomineti kiukwelikweli wala si hadithi.

...unakumbuka ile ishu yangu ya kupretend nikiwa kwa washua kule Lindi, basi leo nimekaa hapa nasikiza bakulutu na nadhani baadaye itaanza shoo ya taarabu maana nimeona wadada wacheza shoo hapa wamekuja kunisalimia mteja mwaminifu, huwa wananifananisha na mjomba wangu ambaye ni pedejeee sasa na mimi natumia fursa.

Bhasi bhana, isiwe ishu nimekaa nagonga moja moja hapa na mezani kajiunga nami mhamiaji haramu, tunalonga, nami mdomo wangu hauhariri yanayotoka kijiko nakiita kijiko tafsida niliziacha nilipolipa bia ya kwanza. Namuona anakosa uhuru nikamwambia nchi huru hii, sema kinachokuja moyoni usikiedit nitaacha kukuelewa. Duh, sijakaa sawa akaniambia anawashwa na bila kumung'unya maneno nikamwambia usiogope mjini joto usivae chupi za kubana sana ukunwaji mwingine ni quickie na sio selfie.
Muziki sasa, endelea kufurahia furahiday na sema chochote kinachokujia kichwani kwani uhuru wa mawazo uko mbioni kuwekewa sheria

 
Binamu ujue umeanza vizuriiiiii yaani vizuri sana ila umekuja kumalizia mwisho hivi binamu unanitaka ninii jaman ndio mana nimemzui baba d kuingia jf na sikupi hata makofi ya kukupongeza kwa ulichokiharibu mwishoni
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
Endelea binamu hivi nikimuacha anko wako kwa fitna zako utafurahi eeenh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…