Makapuku Forum

We najua huna pesa nyingine zaidi ya sadaka.
Ohoooo
haya yote yana washirika 1500@3=4500
Kila member wastani wa sadaka ni
4500@3000=13,500,000/day.
Hapa bado tithes!!!
,mapato yote/day ni 35,000,000
Hapa cjanunua kijiji kwa mwaka!!???
 
Nimechelewa kidogo ndugu mwenyekiti, na wajumbe wote si mnajua tena mtaa tunayo kaa, nimekuja na trot kama mnavoona mijasho kibao, tuko pamoja nahitaji suport yenu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…