Hatupindishi mambo..
Nataka tetra amchukue jumla sio aishie kumkopa tuu.. ila ye anahis tofaut, bunadamu bhana, unaweza ukampa mtu buku kwa moyo mmoja baada ya kuona ana njaa ila yeye akatafsir ni unajikweza, mpenda sifa, unataka uonekane, ila ndvyo ilivyo hatuwez kuwa sawa
Haka kanahis nakaonea wivu wakat hata kwa mkopo nisingeweza kukachukua, hata mahali kanilipie kenyewe.. am sorry wajameni