Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Mke wake Wa pili ni demiuna magoma mawili.. wanajuana, shunie anajua kama una mke wa pili..!?
Aahh.. basi kasoro mimi sikuwa naling'amua kabla.Mbona kila mtu humu anajuaaa....
Demi mke mdogo
Binamu kila kituuu swadaktaaaaaa
Nilifanya kabla
Yaani miez mi3 na tusiku twake tuchache tuu.LEO KATIKA HISTORIA
Tarehe 26 Septemba ni siku ya 269 ya mwaka (ya 270 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 96.
Uliza sasa mchepuko wa aina ganiii ...binamu huyuu wake wauza sambusa na kyapatiiiHahaa... Napenda vijana kama hawa, akirud mwambie anywe juice ya tende bill juu yangu.
SawaaaaLEO KATIKA HISTORIA
Tarehe 26 Septemba ni siku ya 269 ya mwaka (ya 270 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 96.
Ahsante kwa kunijuza.Mke wake Wa pili ni demi
Mbona ilikuwa hujamwambiaaaMke wake Wa pili ni demi
Binamu kwanza kalala kwa mchepuko wake hawez nijibuuu
Full ratibaaAahh.. basi kasoro mimi sikuwa naling'amua kabla.
Shukrani
Duh... Ila yote kheri tu, ile haina ya huyu muuza chapat wala muuza mkaa, al muhimu ni kuwa safi tu.. mengine ni kitongaUliza sasa mchepuko wa aina ganiii ...binamu huyuu wake wauza sambusa na kyapatiii
LEO KATIKA HISTORIA
Tarehe 26 Septemba ni siku ya 269 ya mwaka (ya 270 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 96.
Sijuiii anawapendeaa nnDuh... Ila yote kheri tu, ile haina ya huyu muuza chapat wala muuza mkaa, al muhimu ni kuwa safi tu.. mengine ni kitonga
Hongera kijana.Full ratibaa
Binamu wewe si hukutaka nijueee ....na mm nimetonywa na kilichotokeaa jana kabla ya kuingia nimejuzwaaa.......nilijua hautojua sasa ndo msala unataka kuniletea, ujue bado niko kwenye probation ?
Changanya akili ya kuelezwa na unachokifahamu vyema..
Ukweli uwe mchungu kumezwa na uwe mtamu kutema..
UlizaaaaaaqqJamaa anakitambi huyoo cha minyoo atwezaje?
Uliza sasa mchepuko wa aina ganiii ...binamu huyuu wake wauza sambusa na kyapatiii