Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki: HekaHeka za Pretender

Uko na khali gani Kapuku mheshimika, unajua kabisa huwa sichoki kusema kuwa wewe ni mtu muhimu sana hapa jukwaani na bila uwepo wako wewe, yeaj, wewe hapo unayenisoma muda huu. KF bila wewe labda ingeitwa jina jingine lakini kwa kuwepo kwako hapa KF imekuwa ni brand hapa JF na sio bland. Heh, tafuta uone tofauti ya brand na bland ndo utajua KF tuko juu.

Basi bhana, nilitimba ugenini hapa Lindi na nilienda kwa washua kweli kweli, msosi kila mtu sahani yake, sio ishu maana hata nilikotoka ndo tunafanyaga hivyo, basi watu hata Bismillah hatujamaliza mara vijiko na uma vinapitishwa, mimi first day nikaiga wanachofanya , wallah tena sikushiba jioni nikaziba masikio, kitu wali ndondo kijiko cha nini. Na nikaomba na mahaba kabisa wakasema wamepikia gesi wali haukubanikwa hivyo no mahaba. Itanendelea...

Muziki sasa, heka heka za pretenda zinaweza kukuumbua siku moja na ukajikuta kama huyu ninayemheshimu ambaye wote mnajua ni kaka wa mama yangu. Fumanizi limemkuta ikabidi nimtetee na mimi nikapretend maana haya ni mambo ya ukoo

Watu wamepikia rice cooker.. mahaba hamna.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom