Makapuku Forum

[emoji524]Mithali 16:
20 Atakayelitafakari neno atapata mema; Na kila amwaminiye Bwana ana heri.


JIONI NJEMA WAPENDWA MUNGU ANAWAPENDA ANAWABARIKI KILA IITWAYO LEO...SHALOM[emoji7] [emoji7]
 
Upo T wa Sakayo Ubarikiwe Baba ....Mungu aonekane kwako kila iitwapo leo [emoji123] U wa THAMANI SANA
Asante mama mchungaji.

Malaika wa Mungu wabariki kuingia na kutoka kwako.

Zaidi wakuangazie mwanga katika njia upitazo.

Ameen .[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…