Nashukuru kusikia upo poa dada angu..Tupo kaka, tumeshikika kiasi ila tupo kama kawaida
Mkuu tyt zile maeneo zetu ila soon narejea town mkuu..Kwema lakin?.Wapi kaka!
Poa sana Kamanda..Vp wewe?Habari yako brother.
Baaasi maana kazi tumeshamalizaYah Jangwani mambo mukide mukide, ni formalities tu ndo zimebaki tukabidhiwe ubingwa asee
Poa sana mkuu wangu...Nimekupata vilivyo kamanda..Niaje kaka?
Kwahiyo ndomana unanibania?? Yani katika post zangu 10 kuna like zako 4 tu kwani shida ni nini jamani?? Hebu tembeza likes heshima irudi pastorSoon Ximena atakua no 2 most likes
Mumy kama wewe u mzima hata mimi nitakuwa mzima kabisa...And the vice versa..humu ndani wazma??
Mmmh hapa sijasikia kabisa labda sijui kwa mahali pengineHivi leo ni siku ya mama duniani?
Naenda fasta le Big bossNimekuPM
![]()
![]()
![]()
.................
Naona wanapiga sana nyimbo za mama na salam nyingi kwenda kwa mama zaoMmmh hapa sijasikia kabisa labda sijui kwa mahali pengine
Dada angu ni nauwezo wa kukupa like ngap kwa post..Fanya mambo na Mod nikupe like kuanzia sasa mpaka 12... youngblood alituwakilisha vyema ila yapendeza top 10 zote zitokee huku manta...Kwahiyo ndomana unanibania?? Yani katika post zangu 10 kuna like zako 4 tu kwani shida ni nini jamani?? Hebu tembeza likes heshima irudi pastor
Nasikia ngoma nae ana kadi 3 za njano na game iliopita alicheza
We nipe tu kadri inavyowezekana and i will appreciate kwasasa karibia ile safu wakongwe watakuwa out maana tunaendelea kuwapangua mmoja mmoja, pamoja na figisu figisu za hapa na pale ila sio haba tunaongozaDada angu ni nauwezo wa kukupa like ngap kwa post..Fanya mambo na Mod nikupe like kuanzia sasa mpaka 12... youngblood alituwakilisha vyema ila yapendeza top 10 zote zitokee huku manta...

Duh! Ama kweli.Jux-sisikii![]()
![]()
Season zimeanza nini mkuuMkuu tyt zile maeneo zetu ila soon narejea town mkuu..Kwema lakin?.