Na mimi sasa hivi sijibu ng'ooWe acha tuu, leo mie na angalia tu
AmeniNguvu za mwili zinapatikana kwenye chakula cha mwilini (ugali, chapati, makande,nyama choma ,mahindi,juice nk) na nguvu za rohoni zinapatikana kwenye Neno la Mungu ,maombi pamoja na kufunga.
MBARIKIWE SANA WAPENDWA MCHANA MWEMA
Miss u tooNimewamiss mnoooo
Oooops bora hata umekujaiSee siamini kama watu mnataka kunivunjia ndoa yangu tarajiwa. Acheni unaa bhs, niko nawaona mjuwe..!!
T hbr ya mchanaMama mchuchu shikamoo
Hbr ya honeymoon mbona cmu hawajakupokonya?Na mimi sasa hivi sijibu ng'oo
Whaooo hunnie i love u too muchI will always Love, Care, Cherish and Adore you......
I love you more than the bad days ahead of us, I love you more than any fight we will ever have.... Ninakupenda zaidi kuliko umbali kati yetu, ......nakupenda zaidi kuliko kikwazo chochote ambacho kinaweza kujaribu na kuja kati yetu............ Ninakupenda sana moneytalk
Achana nao babeHahahaha, binadamu sio wema kabisa
Naona wote mmeenda kulala..
Hizi tabia za wachina mmetoa wapi mnalala mchana
Asante mamii na kwako piaNguvu za mwili zinapatikana kwenye chakula cha mwilini (ugali, chapati, makande,nyama choma ,mahindi,juice nk) na nguvu za rohoni zinapatikana kwenye Neno la Mungu ,maombi pamoja na kufunga.
MBARIKIWE SANA WAPENDWA MCHANA MWEMA
Tumosa acha hizi tabia, waachie kina shunieHuhuhuuu kaz imeanza
AiseeI will always Love, Care, Cherish and Adore you......
I love you more than the bad days ahead of us, I love you more than any fight we will ever have.... Ninakupenda zaidi kuliko umbali kati yetu, ......nakupenda zaidi kuliko kikwazo chochote ambacho kinaweza kujaribu na kuja kati yetu............ Ninakupenda sana moneytalk
Kwani nilikuambia kuwa naenda honeymoonHbr ya honeymoon mbona cmu hawajakupokonya?
sijui hata wamejificha wapi