Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Ebu hukoYani MR na MRS lee ni shida
Ebu hukoYani MR na MRS lee ni shida
Haya buana shemelaNakulaje shemela siwezi
[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] embu njoo chemba tunene kidogo, muite na tumosa na sakayo kabisaaNdio hivyo ukiliweka kichwani hilo wala hupati shida we endelea kucheza biko yako mpaka ushinde
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji15] kwahiyo najaribu bahat yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] imebidi nicheke tu
Nasoma tuuHaya sasa mambo ya kufukua makaburi mama n upo
D sio wa kudownload hawezi wekwa hapaHebu tuwekee picha ya D
Hebu cheka shem[emoji3] [emoji3] [emoji3] imebidi nicheke tu
Eeh mwaya hapo usitie neno kabisaNasoma tuu
Basi wale wakubwa asituwekee tena jamaan yaan mnanivuruga ujue kama tumosa nae analeta kila siku watoto wengineNi hao, T nae bwanaa...
Asante shemelaMe nakuamin wewe na mkeo shem wangu unajua, hawa wengine siwaamini kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] embu njoo chemba tunene kidogo, muite na tumosa na sakayo kabisaa
Subiri sasa shemelaSawa sawa shemela
Mbezi wazima sana sijui kinyerezi huko huku nyama tu zimejaa za kuchoma si unajua pande hizi morogoro rd yoteKweli kabisa shemela, vip mbezi wanasemaje
Sisemi mieEeh mwaya hapo usitie neno kabisa
We unajua wangu ni WadadaBasi wale wakubwa asituwekee tena jamaan yaan mnanivuruga ujue kama tumosa nae analeta kila siku watoto wengine
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]D sio wa kudownload hawezi wekwa hapa
Asanteeee nimefurahi kusikia hivyo endelea na hao unaowaamini siku ya kulia watakubembeleza hao tuMe nakuamin wewe na mkeo shem wangu unajua, hawa wengine siwaamini kabisa
Ila we shemela ni mchonganishi aiseeMkatie mawasiliano
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asanteeee nimefurahi kusikia hivyo endelea na hao unaowaamini siku ya kulia watakubembeleza hao tu