Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,488
Double N[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Double N[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Haya sasa mambo ya kufukua makaburi mama n upoKwani huyo Si nilisikia ni mali ya Muosha rungu?
Hivyo hivyo shemelaMie sitii neno
[emoji3] [emoji3] [emoji3] imebidi nicheke tuUmeanza
Hebu tuwekee picha ya DShemela veeep nimeuliza ukweli T hawawekagi pacha wana dred wa kike na kiume wakubwa
Washaoshana na kuwa expiredKwani huyo Si nilisikia ni mali ya Muosha rungu?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Yaani shemela kwa ubuyu
Ni hao, T nae bwanaa...Hapana dada jamaan naongea ukweli ujue ebu mkubaliane mtuwekee pacha moja tu ili msinichanganye dada jamaan
Una nyota mbaya wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nioneeni huruma basi jomon, mbavu zinauma
Nipo nipo tu shemelaniambie basi wewe shemela wangu ukwel
Hapo sasa mama n ndio nilipokuwa nashangaa ujue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe kwa akili yako na umri wangu naweza kuwa na watoto wakubwa vile....
AsanteeeeShauri yake
Duuuh[emoji25] [emoji25] [emoji25]Una nyota mbaya wewe
Kweli kabisa shemela, vip mbezi wanasemajeMimi apa shemela jaman huwa unanimiss mwenyewe
Ndio hivyo ukiliweka kichwani hilo wala hupati shida we endelea kucheza biko yako mpaka ushinde[emoji15] [emoji15] [emoji15] kwahiyo najaribu bahat yangu
Ni kweli alikuwa hajui kabisaAlikuwa hajui huyo
Baba D usitoe siri za ndani ujueAnatumiaga simu yangu
Me nakuamin wewe na mkeo shem wangu unajua, hawa wengine siwaamini kabisaNipo nipo tu shemela
Sawa sawa shemelaMoneytalk amesema atakutambulisha, haraka ya nini tena shemela
Mkatie mawasilianoShauri yake