Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,007
- 150,542
Wee naee chaumbeaaaNyie mpo serious safiiiiiii [emoji122] [emoji122] pale utakapokutana na sura ya wassira sijui itakuwaje woiiiiiii nakusubili mie kwa hamu
Emojiii
Wee naee chaumbeaaaNyie mpo serious safiiiiiii [emoji122] [emoji122] pale utakapokutana na sura ya wassira sijui itakuwaje woiiiiiii nakusubili mie kwa hamu
Muite mwenyewe atawajibuNilikua sipo mie sijaingia usiku humu usiniambie kwahiyo tetra kashajipatia le mubebe wake woiiiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wa kwangu ni wa kike.... Hao wa T ni wa ubatizo mwaya!!!!nimetoka kuwaogesha saivi![]()
Au ndo yale ya vibongeSisemi nina mume humu na nina mama nawaheshimu sana lazima niongee kwa code
[emoji101] [emoji101]Ebu kwanza matabe ni niniii ujue unapenda sana kunitukana
Baba D sitaki umbea wangu upii hapo jamaan anataka kuona sura ujueWee naee chaumbeaaa
Emojiii
Hapana jibu weweMuite mwenyewe atawajibu
MhEwaaaaaaa sasa mama n kwani we na mumeo mna mapacha tofauti mbona wa t wa kubwa wanatembea halafu ni wa kike na wa kiume jamaan hawa niliowazoea wakike dada
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiiiiiUnamtaka na huyu au ndo yale majuto mjukuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shemela mpo lugha moja au[emoji101] [emoji101]
Ana gegooAiseeeee mahaba mahabani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka kama mazuri kwahiyo tetra ana mwanya au
Vibonge tena baba d jamanAu ndo yale ya vibonge
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kunitisha basiKasema mpaka watumiane picha nahisi akikutana na sura ya wassira mapenzi ndio yatakapoisha
Shemela buana [emoji3] [emoji3] [emoji3]Umeuonaaaaa umehakikisha ni yeye kweli au umetumiwa pic za kudownload
YaaaniAiseeeee mahaba mahabani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka kama mazuri kwahiyo tetra ana mwanya au
Mwanya atafunga plasta kama jotiiiKasema mpaka watumiane picha nahisi akikutana na sura ya wassira mapenzi ndio yatakapoisha
AiseeMatabe ni makalio
hivi nyie mnajua mnaweza kusababisha mtu akakosa kibarua, yan nimejikuta nacheka kwa sauti ofisin jamanKasema mpaka watumiane picha nahisi akikutana na sura ya wassira mapenzi ndio yatakapoisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee".....kumbe zile picha zimetoka, alipiga kwa kutumia simu yake mpya, tulipendeza eeh" waziri wa afya alisema baada ya kuulizwa na mwandishi wetu
C kama wewe tuWee naee chaumbeaaa
Emojiii