Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Woooooyooo kaka mkubwa chukua hiziSafi.. nyie ndio wazaz wabov nyie, sasa ulitaka afanyaje, atafunwe yeye, anatafuna lakin unakereka angekuwa anatafunwa yeye jee..
Safi sana chukuadogo janja, we waweke tuu, kata mbuno uwezavyo.
Kama karithi poa, vya kurithi hupitiliza.
Huyu anaweza akawa mjukuu wangu mimi au babu yetu ni mmoja
We kata mbuno tuu.. ila ya hotel na vitu vingine udhamin juu yangu..Kaka nakuona nakuona
Dingi au kwa kuwa umefirisika ndo hutaki kunisaidia matatizo yangu kumbuka baba alikukabidhi wewe unileeWee litoto shika adabu yakoo
Ila kuwa na familia mbili kaziii kweliii kweliiii
Demi njoo umchukue mwanao mm kazi nshamamalizaa
Kweli kaka mkubwa ila ndo alipewa mali za baba kipindi baba anatanguliaDingi wa mandojo na domokaya.
Utakulaa jeuriii yake akikugeuzaa ukutaa sijuiii mmWoooooyooo kaka mkubwa chukua hizi
Kweli kabisa maana yeye ndio dingi. Annaniambia nimerithi sasa nimelithi kawa nanKoma wee ana akili za wewe baba yake.
NimekusoooooomaaaaaaNaongea na simu
Mtafuteee mama yakoooDingi au kwa kuwa umefirisika ndo hutaki kunisaidia matatizo yangu kumbuka baba alikukabidhi wewe unilee
Sawa kaka mkubwa nitachukua na maji ya jitiSina hela ndogo.. we gonga uwezavyo nakuja kulipa.
Demi kwa kwelii hili litoto yawezekana sio langu
Acha kumsingizia mamkubwa we ndo ulichangia asinipeleke shuleIla kuwa na familia mbili kaziii kweliii kweliiii
Demi njoo umchukue mwanao mm kazi nshamamalizaa
Muombe maka akufahamu vizuriiiDingi poa acha nipambane na hali yangu
Maana wahenga wanasema
Asie kujua na wewe jifanye humfahamu
Sawa kakaWe kata mbuno tuu.. ila ya hotel na vitu vingine udhamin juu yangu..
Anamsingizia mamkubwa huyu yeye ndio tatizo
AminaZaburi 122
1 Nalifurahi waliponiambia, Na twende nyumbani kwa BWANA.
2 Miguu yetu imesimama Ndani ya malango yako, Ee Yerusalemu.
3 Ee Yerusalemu uliyejengwa Kama mji ulioshikamana,
4 Huko ndiko walikopanda kabila, Kabila za BWANA; Ushuhuda kwa Israeli, Walishukuru jina la BWANA.
5 Maana huko viliwekwa viti vya hukumu, Viti vya enzi vya mbari ya Daudi.
Asante mamy wanguuu, be blessedTUOMBE*
Tunakushukuru kwa kutufikisha siku hii ya leo. Baba zidi kutupigania, tupiganie katika kazi,biashara,Familia,Maisha na Mahitaji yetu mbalimbali. Tunajitakasa Kwa Damu ya YESU. Tunateketeza,Ng'oa na kuharibu kazi za shetani kwa Moto wa Roho Mtakatifu. Eeh Mungu kumbuka Taifa letu na watu wake, tuongoze kila tutakapo kuwa leo.ponya wagonjwa na wape faraja wafiwa,angalia wajane,wagane,yatima na wenye mapito mbalimbali uwe pamoja nasi siku yaleo Roho Mtakatifu kaa nasi utuongoze, Ni katika Jina la Yesu tunaomba,tukiamini na kushukuru Amina.
SIKU NJEMA FAMILIA ,MUNGU AWABARIKI SANA