ZABURI 121
5 BWANA ndiye mlinzi wako; BWANA ni uvuli mkono wako wa kuume.
6 Jua halitakupiga mchana, Wala mwezi wakati wa usiku.
7 BWANA atakulinda na mabaya yote, Atakulinda nafsi yako.
8 BWANA atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele.
NAWATAKIA JUMAPILI NJEMA NA IBADA NJEMA NAWAPENDA MJUE...
MJIPENDE ZAIDI KWA KUUTAFUTA UFALME WA MUNGU KWA BIDII..SHALOM SHALOM