Makapuku Forum

Imeandikwa Bwana asipoulinda mji wakeshao wakesha bure, ni Maombi yangu usiku wa Leo Bwana Yesu awalinde wana wa Mungu, Malaika wafanye vituo katika machweo ya Nyumba zenu, Jeshi la mbinguni liwazunguke usiku kucha mkawe wa shindi katika mambo yote, Damu ya Yesu inene mema kwa familia zenu, watoto, wajukuu ,wasaidiziwenu, kazi zenu, biashara na kila mlifanyalo likabarikiwe, Nimeomba nakuamini ktk Jina LA Yesu

Ameni

USIKU MWEMA MBARIKIWE TAIFA LA MUNGU NAWAPENDA MJUE
 
Asante kwa maombi ya usiku, yameniongoza kutoka kufanya yangu maana sala zimelinda nyumba yangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…