Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Ebu niombee jaman kaka akee binamu obe niwekee hiii nyimbo baba yangu binamu jamanMwambie mjombako obe akuwekee
Ebu niombee jaman kaka akee binamu obe niwekee hiii nyimbo baba yangu binamu jamanMwambie mjombako obe akuwekee
Kazana binamu changanya na kimakonde...acha tu binamu, yaani imebidi nivae kabisa na nimechomekea vizuri kujieleza kwa mahabuba, laaziz wangu Husna na nimejipulizia pafyumu ya gift of zanzibar ili maelezo yangu yanukie fresh
Sehemu ganiSijakariri tuna mji pale
Unavokaaga mbali ww bora hata mm huwa nakusaidiaSawa sawa ipo siku yako
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] na mimi shirt analovaa baba d ndio nashonaObe na anko wake saresare kama yangeyange
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumosa na karikiti yake veeep
Wewe huyo binamu baba yangu....lol! nani? mie huyu nianze kuongelea mambo ya shanga, no way! Me habari zangu ni kuwa nikitoka Lindi namletea zawadi kipenzi changu wa moyo, anajua na ulimwengu mzima unajua.
me na Tumosa hatuna ugomvi kama paka na mbwa wanaokaa nyumba za jirani
Kweli kabisa....lol! nani? mie huyu nianze kuongelea mambo ya shanga, no way! Me habari zangu ni kuwa nikitoka Lindi namletea zawadi kipenzi changu wa moyo, anajua na ulimwengu mzima unajua.
me na Tumosa hatuna ugomvi kama paka na mbwa wanaokaa nyumba za jirani
Ushirika pale paleSehemu gani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu niambie umenisaidia liniUnavokaaga mbali ww bora hata mm huwa nakusaidia
Ndo vileeeee ushirika motooooo[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sawa mke mweee kitambaa kikibaki na akina wawili nao watavaa hyo sare[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] na mimi shirt analovaa baba d ndio nashona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...ukiahirisha tu hivi ndo atakavyokuwa
![]()
Yangu macho [emoji102]Kweli kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa mke mweee kitambaa kikibaki na akina wawili nao watavaa hyo sare
Mmh pale pale wapi stend auUshirika pale pale
Umesahau eeeh,mara nyingi nanunuaga kesi zako leo unajtoa ufahamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu niambie umenisaidia lini
Pale pale stand mke mwee ukitoka kyela upande wa kushoto kuna lodge lakini imevunjwa sasa hiviMmh pale pale wapi stend au
Liniiii jaman ndio unikumbushe mke mwee ila me sikumbuki kwakweliUmesahau eeeh,mara nyingi nanunuaga kesi zako leo unajtoa ufahamu
Huhuhuuu,sawaPale pale stand mke mwee ukitoka kyela upande wa kushoto kuna lodge lakini imevunjwa sasa hivi