Makapuku Forum

Makapuku Forum

...unaona bhana! Wewe ndo mtu pekee unayenitakia mema humu, yaani aunty yangu ana agenda za siri kama mazungumzo ya makinikia.

Hata mimi nina moyo jameni, asinifanyie hivyo
Sitakiiiiii kwani ulivyokuwa unanifanyia nilikua na moyo wa chuma mimi
 
Endelea kugeuka mke mwee ipo siku yako ukiletewa habari za shangaaa 1500 za shemela shululu me nakucheka kwa dharau tuuu


....lol! nani? mie huyu nianze kuongelea mambo ya shanga, no way! Me habari zangu ni kuwa nikitoka Lindi namletea zawadi kipenzi changu wa moyo, anajua na ulimwengu mzima unajua.

me na Tumosa hatuna ugomvi kama paka na mbwa wanaokaa nyumba za jirani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom