Msitufanyie hivyo jaman nawataka wakina jj wa mwanzoC wanakua jamani halafu umesema leo wadogo macho yko yatakuwa jayaoni vizuri huoni wameota na meno
OK goodWashakubaliana na mama kanunuliwa simu ndio mana karudi kapuku
Jichekee tu
OK goodwape hongera zao
lee empire umeamka salama anko, UF inakusubiri
husna muba mpendwa/mpenzi wangu na leo utaweka Historia tena?
Unaenda wapi eti
Dadakeee
ShemejiiShemela za jioni, Nimekumiss sana shemela wangu, upo lakini
Ha hahahaha, mkongo yupo, kibali cha uimbaji kilipoisha akaomba cha uchezaji, kasajiriwa na Yanga sasa hii timu ina changamoto ya kipesa, bundle linasumbua. labda kwa vile Manji karudi tutamuona tena, au itabidi abadili awe importer wa lile vumbi la Kongo
Kiroho safiii wakishakubaliana nambie nimkabidhi
KalumbuShikamooo
Chekaga vizuri banaaKwa kwakwa
Washakubaliana na mama kanunuliwa simu ndio mana karudi kapuku
...unawajua Waha wewe? Hawa ni mchanganyiko wa Wabembe na Warundi, vita yake mimi ndo ntapoteza maana ni kama wamang'ati na walyanchoka wakipandisha mizuka.
...endelea kumuombea rais, usiniombee mimi kabisa Husna ajue
..mpenzi na mpendwa wangu, usiwasikize wanaotaka kutufitini, na uzuri unawajua
Kaka akee za wewe jamanDadakeee
Njema dada za kuendeleza ujenzi wa TanzaniaKaka akee za wewe jaman
Hatingishiki MTU hApaa na kwa taarifa yako obe simuachiiiihaliwi bana na wewe hutingishwiiiiii
Wazima kabisa cjui mapacha wako na mumeoOooh
Mie Shkamo napewa hata na wakubwa zangu na naitika tuu.... Nilijua kuna kitu wataka ninyima!!!
Family yakoo iko poa lakinii???