Makapuku Forum

Makapuku Forum

....kila siku wanatafutwa watu wasiojulikana, sasa wewe ni mtu unayejulikana , shukuru polisi hawajaweka zawadi ningeenda kuwapa information zako.

Waungwana, hzi habari hazina ukweli wowote, msizipuuze
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watakaokuelewa hapo ni wachache baba binamu yangu
 
...sijawahi hata siku moja kukufitini, nilijua tulikubaliana kutowekeana fitna kwenye mambo ya kweli.
Turejee makubaliano yetu please, mimi mgonjwa jamani mnihurumiege
Sitakiiiii we si ndio ulivunja makubaliano au sio wewe kuniletea habari za mateller mara iPhone x me nina moyo binamu baba yangu tuendelee tu hivihivi kufitiniana
 
Back
Top Bottom