makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,443
- 108,494
Duh... Haya jombaa......duh, nimeota ndoto mbaya imebidi nijiulize maswali hizi ndoto nawezaje kuota ilhali maji ya TBL yamefurika melatonin haina ubishi.
Kumbe makaveli10 kaniita 'mkuu', aisee mdau mimi sio mkuu kabisa.
Kwa kuwa nimekueleza naimani sitaota ndoto mbayambaya tena za kuitwa mkuu
Baraka ziwe juu yako nawe pia.[emoji524]Zaburi 121
1 Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi?
2 Msaada wangu u katika BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi.
3 Asiuache mguu wako usogezwe; Asisinzie akulindaye;
4 Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi, Yeye aliye mlinzi wa Israeli.
SIKU NJEMA WAPENDWA MUNGU AWABARIKI[emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mama alikukataza lakini
Jirani vipAmen
Asante mama hope umeamka poa[emoji524]Zaburi 121
1 Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi?
2 Msaada wangu u katika BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi.
3 Asiuache mguu wako usogezwe; Asisinzie akulindaye;
4 Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi, Yeye aliye mlinzi wa Israeli.
SIKU NJEMA WAPENDWA MUNGU AWABARIKI[emoji120]
Sasa si nakuonaaa upo kwenye process ..kukumbushanaa muhimu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alinikataza kutenda tuu[emoji85] [emoji85]
[emoji8] [emoji8] [emoji8][emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Tubarikiwe sote mpendwa..Ubarikiwe
Na kwako piaa mkuuAsubuhi njema kwenu nyote ndugu zanguni.
Babe[emoji173] [emoji173] [emoji173]Amen
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Habari za Asubuhi wapendwaa, Naimana nyote ni wazimaaaa..
Mbarikiwe nyootee
Ashakuwa babe ??Babe[emoji173] [emoji173] [emoji173]
Morning sweetheartMorning all kapuku
Morngi kakaMorning all kapuku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pole mkuuu
Aku.. thiko kwenye prothethi yoyote ile.. nlitaka kujua tu kama hyo bk ipo ama lah..Sasa si nakuonaaa upo kwenye process ..kukumbushanaa muhimu
Shukrani mkuuNa kwako piaa mkuu
Akufwe[emoji18] [emoji18]Mnamtaka nn binamu wangu lakini
Thathaaa kwaniii vibaya wewe ukatoa jino la mbele ili upate mwanya ??Aku.. thiko kwenye prothethi yoyote ile.. nlitaka kujua tu kama hyo bk ipo ama lah..