Makapuku Forum

Hahah, kuna msemo kuwa mja haachi asili, bado unakuhusu?

Alafu mkongo itakua alikamatwa na uhamiaji karudushwa kwao zaire, maana haonekani

Nadhani hii itakua ni habari njema kwako Obe 🙂🙂🙂
 
Hahah, kuna msemo kuwa mja haachi asili, bado unakuhusu?

Alafu mkongo itakua alikamatwa na uhamiaji karudushwa kwao zaire, maana haonekani

Nadhani hii itakua ni habari njema kwako Obe 🙂🙂🙂

Ha hahahaha, mkongo yupo, kibali cha uimbaji kilipoisha akaomba cha uchezaji, kasajiriwa na Yanga sasa hii timu ina changamoto ya kipesa, bundle linasumbua. labda kwa vile Manji karudi tutamuona tena, au itabidi abadili awe importer wa lile vumbi la Kongo
 
Husna akijua je..
 
Kwa kwakwa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…