Makapuku Forum

1987- jaco pastorius mwanamuziki kutoka marekani anafariki


Mwisho


...kwa wapenzi wa Jazz, na hasa wanaofuatilia wapiga gitaa zito (bass) basi huyu jamaa (AKA) alikuwa anajua sana kuliburuza gitaa hili. FYI, keshachaguliwa mara tatu katika tuzo za Grammy. Bahati mbaya alikuwa na tatizo la 'vurugu'kwenye akili yake na akajiingiza mkenge kwa jamaa mwenye 'black belt' ya karate, alipigwa na ikapelekea kifo chake..

Asante Husna kwa kunikumbusha gitaa. si unajua segment yangu ilihusu gitaa kabla sijabadilisha gia angani 😀




 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…