Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Umeona ee ...?!![]()
![]()
![]()
na uongo ndo unafanya mapenzi yadumu
kwenye zile kona zetu za umbea
nawaonaga nawasomaga kimya kimya nacheeekaMsimu Wa kilimo au?!Asante, naona sasa hivi hana pressure kabisa, maana msimu umemuendea vizuri
Nawaonaaa mtu na shem wakeeeshemela mambo
wanasemaga hainaga ushemeji etiPoa shemela, za kwako shemela wa mie
ni poa kabisa shem wangu
LohMimi nimetangulia kabisa mama watoto wangu, karibu kitandani
Woyooooooo.........makaveli ndani ya nyumbaaaaaaa
Muziki: Usiku Mnene
....nakoroma usiniamshe maana nikiamka utaanza kukoroma wewe. Hata sijui usingizi ulinitaimu vipi nikashindwa kubofya kitufe cha send.
Hebu burudika tu sasa
asante mpendwa/mpenzi wangu Mi sijambo na mpendwa wanguHamjambo makapuku
Ulikesha?!3:03
AminoMUNGU AWABARIKI SANA SIKUBYA LEO IKAWE NJEMA NA YA KUPENDEZA MACHONI PENU NA HASA KWA MUNGU BABA WA MBINGUNI ANAYEWATUNZA KILA IITWPO LEO ,YOU ARE IN MY PRAYERS,I LOVE YOU
![]()
GOD LOVES YOU MORE ..SHALOM
![]()
![]()
kwakweli Mimi na mpendwa wangu tulikumisi sanaUdaku kazini
Anajua ndio maana akajaMama mchungaji, hujambo lakini? Nilikumiss sana, unajua hili lakini?

Nawe piaView attachment 592746Asubuhi njema makapuku wote
Yes I'm goodnitamsalimia mamy hope you good